Sunday, January 13, 2008

BUSARA ZA WAZEE

Hapa sijui Mzee Mkapa alikuwa anampongeza kwa kumfuta kazi Balali ama alimpa taarifa za kukaa chonjo na Kibaki!!! Naomba msaada jamani. Hii ilikuw ajuzi Kule Zenji kumba Mzee yupo nchini watu walizusha yuko ng'ambo ziku hizi!

No comments: