Monday, January 14, 2008

DIDAS AREJEA NCHINI

Eammanuel Didas Mgonjwa liyepasuliwa kichwa badala ya mguu katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) akiwaka tika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam baada ya kutoka India kwa matibabu zaidi.
Wauguzi wakimsaidia kuingia katika ambulance, Soo nyingine hapa duniani zinatisha sasa hivi angekuwa amepona mguu kama angepasuliwa sahihi.

No comments: