Wednesday, January 16, 2008

KUBENEA NYUMBANI

Mhariri wa Mwanahalisi, Saed Kubenea akizungumza na waandishi wahabari uwanja wa ndege leo baada ya kuwasiri. Cheki macho yake na miwani!
Yaani kapokelewa na umati na gari Pajero Intercooler sijui amepewa zawadi ama jamaa yake tu, mapokezi yalikuwa bomba! Kumbe anawajua jamaa lakini sisemi, atawataja nmwenyewe baada ya siku 15. Ole wao!

No comments: