Sunday, January 13, 2008

MOCHUARI

Najua wengi wenu hamjawahi kuingia Mochwari! Hapa ndio Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Leonard Lema akionyesha jokofu jipya la kisasa lililofungwa hospitalini hapo. Yanakula kama watu 80 hivi!!!!! Imepanuliwa zaidi kwa hiyo msihofu sehemu za kuhifadhiwa wakati hela za mazishi zinatafutwa.

No comments: