Wednesday, January 16, 2008

SPIKA IN THE HOUSE

Spika wa Bunge la Kenya Kenneth Marende akisindikizwa na makamu wa Rais, Kalonzo Musyoka na Kiongozi wa Upinzani, Musalia Mudavadi mara baada ya kuchaguliwa.
Bw. Marende akiw akatika kiti chake cha Kazi jana usiku ambapo akiapisha wabunge wote katika mkutano wa 10 wa bunge.

No comments: