Wednesday, January 16, 2008

VURUGU NYINGINE KENYA

Mwanadada akiweka sawa tairi la moto ili kuzuia matumizi ya barabara wakati wa siku ya kwanza ya maadamano nchini Kenya. Maandamano yanatarajiwa kuchukua siku tatu.
Waandamanaji wakimdhhaki Rais mwai Kibaki kwa kikatuni.
Maandamano yalianza kidogo sehemu mbalimbali nchini humo lakini yalidhibitiwa muda mfupi baadae.

No comments: