Tuesday, February 12, 2008

HUJAFA JUJAUMBIKA

Yaani imagine maisha umezoea katika nyumba hii kumba marehemu Baba alikuwa anadaiwa na Benki! Ikauzwa kwa mnada hamjui kitu!
Mara wanakuja Court brokers na kuwatoa bil aya maandalizi kama ilivyotokea kwa wakazi hawa wa Mikocheni! Sasa firikiria kuhamia Buguruni ama Mbagala!

3 comments:

Anonymous said...

Wabongo kwa kushabikia aliyejuu akidondoka!!! Picha hii itawakonga wengi wasiokuwanacho na itawasikitisha wengi wenye uwezo hasa wale waliokopa benki.

Anonymous said...

poleni jamani , Mungu awatie nguvu, iko siku mtarudia hali yenu ya mwanzo.

Anonymous said...

pole sana dada, mungu atawajalia soon, mtarudi ktk maisha bora zaid ya mlokua nayo mwanzo