Friday, February 08, 2008

Lowassa Kimbembe!

Jamani wadau niko mjini Arusha na watu wa huku hasa wamasai wamefurahia sana kujiuzuru kwa Lowassa, wanasema katika kipindi kifupi alijenga maadui wengi mno. taarifa zisizoaminika zinasema waziri Mkuu mpya atakayetanazwa jioni ni kati ya Bernhard Membe, Stephen Wassira an Prof Mwakyusa. mambo zaidi jioni!
Kuna mtu kanitonya kwamba familia ya Lowassa imeathirika kiasi kwamba mtoto wake wa kiume sijui anaitwa richard ameondoka leo kwenda South afrika nadhani kumsitiri na watoto wenzake wasije kumzonga.
Hizi ni habari za fununu tu!

No comments: