Saturday, February 16, 2008

MAMBO ZAIDI

Jamani wamarekani kiboko yaani walileta hili FBI wakajua watu hawawezi kulishutukia lakini Tolu kichizi hata Mjwahuzi halifikii, angalia mpaka wazungu kawazidi achilia mbali polisi wetu, nikalijaribu kiswahili likatoa nje!
Jamani Mwema akalamba mkono wa Bush! Polisi watakoma mwaka huu.
Jamani kandoro ndio alishugulikia mapokezi yote haya alikuwa amebanwa kichizi lakini nae alimpiga mkono mzee natweka kesho!
Cheki madude yalikuwa yameandaliwa kwa ajili ya msafara wa Bush kesho asubuhi nawaletea msafasra mzima leo tulikuwa tumefungiwa ndani na FBI!
Hii ndio cadillac One iliyombeba rais wa dunia kama wengine wanavyomuita gari ni kali mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni nasikia linauswa UD$ 6m full security ndani!

No comments: