Friday, February 15, 2008

MAPOKEZI YA RAIS BUSH



Jamani mapokezi yameshaingia doa, leo waislamu wa Dar es Salaam wameingia mitaani na kuandamana kupina ziara yake nchini! maskini wamechoma bendera kadhaa za Marekani zilizopambwa katika milingoti barabarani!

1 comment:

Anonymous said...

Hivi hao waislamu wana matatizo gani???? wanadhani Bush amekuja bongo kienyeji???, alikaribishwa na muislamu mwenzao raisi kikwetu sasa wao wanachemsha nini? mbona huwa hawaandamani raisi kikwete akienda US kila mara? huo ni uchizi wao na kuiga mkumbo.Wamechemsha, Bush anakuja na sisi tunamkaribisha saaaana tu, Wellcome our friend Bush we love you.