Tuesday, February 12, 2008

MAWAZIRI

BARAZA JIPYA LA JK

1. WAZIRI OFISI YA RAIS (UTAWALA BORA) Sofia Simba
2. WAZIRI OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UMMA) Hawa Ghasia
3. WIZARA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO) Mohamed Seif Khatib
4. WIZARA YA UTALII NA MAZINGIRA DK. Batilda Buriani
5. WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (SERA NA URATIBU WA BUNGE), PhilipMarmo
6. WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA, Steven Wasira
7. WIZARA YA FEDHA Musatafa Mkullo, MANAIBU NI Jeremiah Sumari na Omar Y. Mzee
8. WIZARA YA AFYA PROFESA David Mwakyusa, Naibu Aisha Kigoda
9. WIZARA YA ARDHI John Chiligati
10. ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI Prof Jumanne Maghembe, MANAIBU Gaudensia Kabaka NA Mwantumu Mahiza
11. WIZARA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA Dr Shukuru Kawambwa, NAIBU Maua Daftari
12. WIZARA YA MIUNDO MBINU Andrew Chenge, NAIBU Dr Makongoro Mahanga
14. WIZARA YA UTAMADUNI NA MICHEZO George Mkuchika, NAIBU Joel Bendera
15. WIZARA YA KAZI NA AJIRA POFESA JUMA KAPUYA NAIBU HEZEKIA CHIBULUNJE 16. WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI, Prof Mark MwandosyaNAIBU Cheistopher Chiza
17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA Dr Davis Mathayo
18. WIZARA YA MENDELO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO Margaret Sitta, NAIBU NI Dr Lucy Nkya
19. WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO John Magufuli, MANAIBU NI Shamsa mwangunga na Ezekiel Maige
20. WIZARA YA MAMBO YA NDANI Lawrence Masha, NAIBU Hamisi Kagasheki
21. WIZARA YA MAMBO YA NJE NI Bernard Membe, NAIBU Seif Ali Idd
22. WIZARA YA NISHATI NA MADINI William Ngeleja, NAIBU Adam malima
23. WIZARA YA SHERIA, Mathias Chikawe
24. WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA Dr Hussein Mwinyi, NAIBU Dr Emmanuel Nchimbi
25. WIZARA YA AFRIKA MASHARIKI Dr Emmanuel Kamala
26. WIZARA YA VIWANDA NA BISHARA Dr Mary Nagu, NAIBU Cyrlil Chami.

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana kwa kutupa picha za hawa mawaziri. Itachukua a few weeks kabla blog nyingine hazijaweka picha zote. Kwa hili nakupongeza