tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post1054770957389995404..comments2023-09-21T17:31:40.488+03:00Comments on Sumo: UDHALILISHAJIMzee wa Sumohttp://www.blogger.com/profile/07201436624637901154noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-14958343431448491492011-03-24T14:04:48.011+03:002011-03-24T14:04:48.011+03:00Hivi hawa askari wa jiji wanaruhusiwa kupiga imeku...Hivi hawa askari wa jiji wanaruhusiwa kupiga imekuwa ni tabia yao kuwapiga machinga mbali na kuwanyang'anya bidhaa zao wanazouza. Huu ni unyanyasaji kipigo na kuchukuliwa mali zako mtu ana familia anategemewa na wazazi wake katika kuwapa misaada ya aina mbalimbali. Hebu tazama jinsi walivyomchania nguo huyu dada na kumuacha wazi sehemu zake za kuficha. Tabia ya kupiga ikomeshwe. Pole sana dadaAnonymousnoreply@blogger.com