tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post1636842310602452585..comments2023-09-21T17:31:40.488+03:00Comments on Sumo: WATZ BELGIUMMzee wa Sumohttp://www.blogger.com/profile/07201436624637901154noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-9644489793900783082008-05-15T16:18:00.000+03:002008-05-15T16:18:00.000+03:00Nawapongeza kwa dhati kwa tukio hilo.Mtumieni vyem...Nawapongeza kwa dhati kwa tukio hilo.Mtumieni vyema Balozi Mlay ni mtu mwema kwa jinsi ninavyomfahamu atawasaidieni sana katika mambo mbalimbali.Msitupane wala msibaguane muwe kitu kimoja ndipo Umoja wenu utakapo wanufaisha nyote katika raha na shida.Sisi Huku Bongo tutakuwa karibu nanyi katika kila mlifanyalo.Nliliiona picha yenu nyingine mlipofanya tamasha la kitamaduni katika uzinduzi wa hiyo Jumuia yenu.Nawapongezeni sana na kila la kheri katika shughuli zenu.Msisahau nyumbani,Cheers!Anonymousnoreply@blogger.com