tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post5972637385881890230..comments2023-09-21T17:31:40.488+03:00Comments on Sumo: MAZISHI YA WAPIGANIA HAKIMzee wa Sumohttp://www.blogger.com/profile/07201436624637901154noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-39457655410503903962011-01-23T09:16:54.530+03:002011-01-23T09:16:54.530+03:00Naanza kwa kuwasalimu wadau wote na mzee wa sumo,n...Naanza kwa kuwasalimu wadau wote na mzee wa sumo,ndugu zangu chadema nafurahishwa na maendeleo yenu mliyofikia mpk hv ss na mmetuonyesha mwanga wa democracy unavyozidi kumulika ktk nchi yetu ya tanzania na kwa kulitambua hilo ni haki yenu kudai kurudiwa kwa uchaguzi wa meya na makamu wake hapo arusha ili haki itendeke.CCM wamekua wakijiamini sn ktk kila jambo na kujiakikishia kwamba watashinda kwenye nyazifa mbalimbali lkn hii ya arusha imezidi.Kwa kuwa walishindwa kiti cha ubunge basi walijua fika na umeya watashindwa ndipo walipojiandaa kufanya dhuluma na ubabe ili mgombea wao awe meya.Hivyo basi kwa kutumia misingi na katiba yenu chadema mnapaswa kuomba kurudiwa kwa uchuguzi huo wa meya wa arusha kwa hekima na busara ili muweze kuuonyesha ulimwengu kuwa matokeo ya awali yalikua si ya halali na naamini kuwa kama mtafuata utaratibu mzuri basi hata mahakama ya kimataifa itaweza kuwasaidia kwa hili na mtashinda kwa kishindo kikubwa sn bila manung'uniko.Lakini mkisema muandamane kwa kuishinikiza na kuilazimisha serikali uchaguzi huo urudiwe,watazidi kuwapiga na kuwaua km walivyofanya kwa CUF nakutojali lolote sababu tu wao ni watawala wa nchi na maamuzi yao yapo mikononi mwao hivyo nawasii sn chadema mtumie njia nyingine na sio maandamano natumaini mungu atawaongoza mtachukua kiti cha meya wa arusha.Mdau kutoka Dubai muri na email yangu ni mugo.muriuki@yahoo.comAnonymousnoreply@blogger.com