tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post6157199590801437910..comments2023-09-21T17:31:40.488+03:00Comments on Sumo: Mzee wa Sumohttp://www.blogger.com/profile/07201436624637901154noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-73814151724100331662009-02-09T17:02:00.000+03:002009-02-09T17:02:00.000+03:00Sie yeye ana-upload. Kwa taarifa nilizonazo ni kuw...Sie yeye ana-upload. Kwa taarifa nilizonazo ni kuwa huwa anampa jamaa mtu mmoja amsaidie. Hajui chochote kuhusu Kompyuta ndio maana hawezi ku-upload akiwa nje ya nchi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-77998756829491946572009-02-09T15:17:00.000+03:002009-02-09T15:17:00.000+03:00Naswigile fijo. Mzee wa sumo angalau umetupa pumzi...Naswigile fijo. Mzee wa sumo angalau umetupa pumzi kujua kuwa upo, nadhani kama alivyosema mdau hapo juu nashauri tupe mambo ya huko yanayoweza kutufaa kwa elimu, burudani n.k hata tafakali jadidi.<BR/>Mdau.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-61675760021703063072009-02-07T19:53:00.000+03:002009-02-07T19:53:00.000+03:00Labda umekufa wewe unatuficha tuu,Siutuambietu tut...Labda umekufa wewe unatuficha tuu,Siutuambietu tutakuelewaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-43662848677632252762009-02-06T10:41:00.000+03:002009-02-06T10:41:00.000+03:00mzeeeeee kwani ukiwa nje hauruhusiwi ku-upgrade ba...mzeeeeee kwani ukiwa nje hauruhusiwi ku-upgrade babu...........sema tu umeamua kutupila mbali hii blogAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-56923576291317823442009-02-06T08:02:00.000+03:002009-02-06T08:02:00.000+03:00Mzee wa sumo unatuangusha Bwana...kwani inakuchuku...Mzee wa sumo unatuangusha Bwana...kwani inakuchukua muda mwingi sana kuapload blog yako.Na pia hata kama uko nje ya nchi sio sababu ya kuto upload blog yako mbona wengine wanasafiri kila siku lakini wana upload ina maana uko uliko hamna kitu unachohisi jamii ya blog yako inafaa kujua...Lusakohttps://www.blogger.com/profile/17437587110174215577noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-61199688666354859462009-02-06T04:21:00.000+03:002009-02-06T04:21:00.000+03:00we bwana kibonge mbona mwaifuge kaniambia upo hapa...we bwana kibonge mbona mwaifuge kaniambia upo hapa Nairobi lakini haujanitafuta hata siku moja?????mimi Range<BR/>naishi hapa karibu na KBC panaitwa Norfok Towers +255783138844 ma 0715458790Anonymousnoreply@blogger.com