tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post7335375924938318036..comments2023-09-21T17:31:40.488+03:00Comments on Sumo: PINDA AJA JUUMzee wa Sumohttp://www.blogger.com/profile/07201436624637901154noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-72974650217030555262009-01-23T17:09:00.000+03:002009-01-23T17:09:00.000+03:00"Viongozi tumechoka"!!! Hivi mmeisha fanya nini k..."Viongozi tumechoka"!!! Hivi mmeisha fanya nini kuhusu hili tatizo zaidi ya kuongea tu? Tatizo ni kwamba viongozi wetu bado wanaamini uchawi ndiyo maana wanaogopa kuwanyoshea vidole waganga wa kienyeji. Nasema hivyo kutokana na kituko cha unga Bugeni kilivyowangaisha wabuge.

Inabidi hatua za kisheria zichukuliwe kama vile kuwaprotect hawa ndugu zetu, watu inabidi waelimishwe kwamba utajiri unapatikana kwa kazi ngumu siyo short cut kama kuamini uchawi. Vyombo vya usalama (polisi) viwajibike kuwachukulia hatua kali wanaofanya vitendo hivi. Hukumu iwe ngumu kiasi kwamba wengine waogope kufanya vitendo hivyo. Inatia aibu kusikia Waziri Mkuu wa nchi kushindwa wajibu wake na kuwaachia wananchi wajichukulie sheria mikononi matokeo tutaanza kukatana mapanga kama wanyarwanda.

VIONGOZI WETU TAFADHALI ANZENI KUWAJIBIKA!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-2241556867890292202009-01-23T16:27:00.000+03:002009-01-23T16:27:00.000+03:00"Mkimuona mtu kamkata mwingine shingo, nae muueni"..."Mkimuona mtu kamkata mwingine shingo, nae muueni" wamuue kwa kifo gani? maana wakimkata shingo itabidi nao wauawe. Pinda ni mwana sheria kitaaluma lakini ameshindwa kuelewa kuwa hata kumshauri mtu amuue mwingine ni kosa.

"...viongozi wote tumechoka." Hapa ndo angalau umenena....ni kweli ccm mmechokaAnonymousnoreply@blogger.com