tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post8972726587877281906..comments2023-09-21T17:31:40.488+03:00Comments on Sumo: FRANCIS APATA MWENZAMzee wa Sumohttp://www.blogger.com/profile/07201436624637901154noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-35835760579087141822008-12-24T11:55:00.000+03:002008-12-24T11:55:00.000+03:00Ndugu mdau namba 2; Nimesikitishwa na comment yak...Ndugu mdau namba 2; Nimesikitishwa na comment yako kwamba hata puyo kaolewa! kwani yeye amekosa nini kwa mungu mpaka asiolewe. hayo ni maneno ya msosaji tu yaliyojaa wivu na chuki. mwache mwenzio afaidi. kapata mume bombakichizi. hongereni sana maharusi mumipendeza kiasi chenu. Kila la heri katika maisha yenu ya ndoa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-6153314209473127502008-12-24T01:04:00.000+03:002008-12-24T01:04:00.000+03:00nimeipenda hii harusi inaonyesha furaha halisi.nimeipenda hii harusi inaonyesha furaha halisi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-25583402529463163752008-12-24T00:09:00.000+03:002008-12-24T00:09:00.000+03:00Jamani hata puyo Kaolewa basi hata baki mtuJamani hata puyo Kaolewa basi hata baki mtuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-59055962205661594912008-12-23T11:28:00.000+03:002008-12-23T11:28:00.000+03:00Hongera sana kaka yangu Francis kwa kupata jiko.Mu...Hongera sana kaka yangu Francis kwa kupata jiko.Mungu ailinde ndoa yenu na maadui na vizabizabina wasiopenda kuona mafanikio ya ndoa za wenzao.<BR/><BR/>Mi dada yako tuliishi majirani mitaa ya National Housing Moshi Uru road karibu na Keys hotel miaka ya 1979 tukiwa wadogo kabisa.<BR/> KIla la heri kaka.Anonymousnoreply@blogger.com