tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post9149292245317227634..comments2023-09-21T17:31:40.488+03:00Comments on Sumo: DECI, VUNAVUNAMzee wa Sumohttp://www.blogger.com/profile/07201436624637901154noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-31032001738868367792009-04-10T11:52:00.000+03:002009-04-10T11:52:00.000+03:00Hivi kweli wadau hii DECI ni ya kweli au wakubwa ...Hivi kweli wadau hii DECI ni ya kweli au wakubwa wameamua tu,kuvuruga mawasiliano tukiangalia kwa namna moja au nyingine Deci inasaidia sana kuna mwanafunzi nasoma nae chuo yupo mwaka watatu sasa na anajisomesha kwa kutumia deci.<BR/><BR/>Nilivyosikia wakubwa ndio wameingilia kati jamani watanzania sie>leahnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-35007400510809128162009-04-09T23:50:00.000+03:002009-04-09T23:50:00.000+03:00CCM wanatubania educatin ili tuwe mambumbu kama hi...CCM wanatubania educatin ili tuwe mambumbu kama hivi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-7987092717927819632009-04-09T20:10:00.000+03:002009-04-09T20:10:00.000+03:00Hii ndio jamii iliyojengwa na CCM kipindi chote il...Hii ndio jamii iliyojengwa na CCM kipindi chote ilichokaa madarakani,yaani wananchi wanapenda kupata pesa za bure bila kufanya kazi,vp kama idadi hyo ya watu iliyojitokeza DECi kama ingeamua kufanya uzalishaji,nadhani nchi ingekuwa mbali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-24823984.post-40116878332994699022009-04-09T19:10:00.000+03:002009-04-09T19:10:00.000+03:00"Haloo we Mtanzania!..Hii ni DECI vs Mamilioni ya ..."Haloo we Mtanzania!..Hii ni DECI vs Mamilioni ya Kikwete..Unachagua ipi?"Anonymousnoreply@blogger.com