Habari rasmi zilizopatikana zinaeleza kuwa blogger, Reginald Simon ama 'Kisima cha Fikra' ameamua kujiondoa katika blogs n ahivyo kuahidi kuwa hatashiriki tena kwenye blog yake ya rsmiruko.blogspot.com sijawasiliana nae afafanue lakini nimekuta ujumbe kwake ukisomeka: Ndugu wasomaji wa Blog hiiKwaherini. Ninawaaga nimeamua kuachana na blog. Asanteni kwa kuniunga mkono tangu Novemba 2006.
Ndimi Miruko
Naomba Mungu amuweke huko aliko!!!!!!!!!!!!!!
Ameshindwa game huyo ni ngumu si mchezo halafu ombi langu mimi tunaomba uwe unafanya picha ziwe kubwa kama za blog nyingine zi kikuzwa
ReplyDeletewee jamaa vipi, lete picha bana, au walinzi wa bush waliondoka na kamera yako??, kila saa tunapita hakuna kitu hapa, alafu unasema mwenzio kaachia ngazi, si mchezo hii kazi, hapa kila siku unakuwa na deni kwa wadau!
ReplyDeleteNi kweli wewe mzee wa sumo ukiwa professional photographer unatuangusha. Unakuwa outdated . CHANGAMKA MZEE!
ReplyDeleteDuh hii sasa kali, Mpaka leo hamna kitu? Mzee umefilisika au unahitaji mchango? Mbona mwenzio Michuzi bado yumo wewe anakushinda nini michu?
ReplyDeleteUnatuwekea usiku!!!!! changamsha blog hii!!!!
ReplyDeleteHuo ujumbe wa TANZIA katika Blog ulikuwa wa Miruko kweli, au wa kwako pia????? Sema kama na wewe umeshindwa tusipoteze muda kuangalia kama kuna jipya kwenye blog yako! Anyway, kazi zina wenyewe hizi, sio kila mtu anaweza kuzifanya. Humuoni Michuzi anavyochangamka, namna hii hata wenye biashara zao inakuwa inalipa kuweka matangazo kwa Michuzi, na wewe changamka, lazima akili ikuchemke kuona ni namna gani unaitangaza blog yako na hatimaye kuvutia wenye hela zao za matangazo! Sio kubaki kusema una ooh mkosi, ooh sijui kitu gani, changamka kijana!
ReplyDelete