Tuesday, September 12, 2006

URAFIKI WA MASHAKA

Warundi walipokutana Dar es Salaam kuweka mkataba wa amani hata hivyo hawakuonyesha upendo walionekana wakiwa na mashaka, ona Mkurunzinza na Rwasa baada ya kusaini kusingekuwa na camera wasingeshikana!

No comments: