Tuesday, October 03, 2006

CONGO


Kwa aliyewahi kuishi Dar es Salaam atashangaa kuon amtaa wa Congo ukiwa tupu, mpaka magari yanapita! Machinga kweli kiboko!

1 comment:

Anonymous said...

yeahhh hivi ndivyo inavyotakiwa iwe, lakini najua haitakuwa kwasababu baada ya siku chache hapa patajaaa tena ulofanyika ni ujinga.