Tuesday, October 10, 2006

UKAGUZI WA MAISHA BORA


Mrema aibukia mitaa ya jangwani kuangalia wananchi wanavyoishi

3 comments:

Anonymous said...

Ahhh hili lijamaa ni lisanii, hivi linakagua nini hapa, limekuwa kuwadi la kuvunja vyama na kutia sumu ya migogoro, kisha kama haitoshi likamtema hawara, nauliza hivi kutokana na hayo hivi hhili jamaa sanii linaboresha maisha bora kwa kila mtanzania.

Semkae said...

naomba update more pictures

Anonymous said...

Mrema sio msanii tu bali mwizi pia.unakumbuka alivyowatoka pale Jangwani siku zilee? eti watu wachange fedha za nauli akamwone Mandela na Malkia Elizabeth ! Basi bwana kukusanya tu,huyo Moshi hadi X-mas ilipoisha. Wajumbe wa H/Kuu kuuliza vipi mzee ile hela? kawafukuza chama. Yaani jamaa bonge la Tapeli.Sema sisi nasi bila kutapeliwa hatusii raha.Lakini Mrema ni wa kuogopa kuliko UKOMA