Tuesday, February 06, 2007

MAISHA YA MANYONI











Vijana wa Mji wa Manyoni wakiburudika na mpira huku mwenzao akijituliza kivulini nje ya Tembe yao. Sijui mabati hayapatikani ama ni uhaba wa viwanja ndio maan akunakuw ana vibustani juu ya nyumba!

2 comments:

Anonymous said...

sasa mzee wa sumo umechoka yaani mpaka leo hii huna jipya sasa kama huwezi kuimioliki hii blog ni bora umpatie anaeiweza.

Anonymous said...

nakuunga mkono anony hapo juu mzee wa sumo anatuangusha sana na nimesikia amepata nafasi kwenda senegal kwa kutupatia matukio yote yanayo endelea huko sasa usituangushe mzee wa sumo