Thursday, March 22, 2007



Kipa wa Taifa Stars akiwa katika mazoezi nchini Dakar Senegar anatarajiwa kuondoamichomu ya Diof na Niang. Pembeni kocha mkuu, Maximo akitoa memlekezo ya mwisomwisho.

4 comments:

Anonymous said...

Kila la heri Taifa Stars.Mipicha kibao tinaitegemea toka uko.

Egidio: http://www.gaphiz.blogspot.com

Anonymous said...

Mzee tunakutegemea wewe huko Senegali kutupasha nini kinajiri hasa inapohusu picha. umeweka chache mnooo, tupigie hata hiyo hotel waliyofikia stars, yaani tuone kila kitu. Big up mzee!

Anonymous said...

HIVI UMEISUSA BLOG YAKO!!

Hata habari za msiba wa AMINA hakuna.

Ansbert Ngurumo said...

Mzee wa Sumo,

Naona umesahau password yako tangu Juni. Nikutumie? teh teh teh!

Leo nimeona ile picha ya t-shirt yako uliyochanika siku wewe na Kidanka mlipodundwa na "wafungwa" kwa kutimiza wajibu wenu mtukufu. Jinsi ilivyochanika, we hata huangalii, unamfariji Kidanka. Nimecheka sana.

teh! teh! teh! teh!