Tuesday, October 23, 2007

MKATABA WA.........MAFUTA!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi (kulia) na Mkurugenzi wa masuala maalum na mshauri wa rais wa kampuni ya Dodsal group ya Dubai, Hasu Masrani (kushoto) wakisaini mkataba wa utafutaji wa mafuta jijini Dar es Salaam jana. Pamoja na mambo mengine kampuni hiyo itawekeza kiasi cha dola za marekani 31.5 milioni. Watu wanadhani mikataba haiwagi hadharani kama wa Buzwagi si kweli!!!!!!!!!!!mambo ofisini!

No comments: