Wednesday, October 24, 2007

TANZANITE


Haya ndio mawe yanayosumbua kichwa watu wengi mpaka wageni kesho ntawaleteeni jinsi wanaume wanavyojikunja kuyatoa ardhini na tofauti wa mwafanikio ulivyo wazi! Pitia hapa ujionee watanaganyika wanavyomenyeka n akuishi kwa matumaini.

No comments: