Sunday, November 04, 2007

CCM DODOMA!!!!

Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba akiteta na wasimamizi wa uchaguziDR Nchimbi na Spika , Samweli Sita. Hofu imetanda kuwa anaweza asirejee kwenye ukatibu lakini Mhmmm
Mzee Mkapa akiingia mkutanoni kufanya vitu vyake akiwa ameongozana na Mzee warioba (Kushoto) na Makamu wa Rais Dr Mohamed Shein.
Rais Kikwete akimpongeza 'Mzee wa Mapesa', John Cheyo baada ya kutoa salamu za chama chake cha UDP kwenye mkutano huo, aliwamaliza watu na kufanya wajumbe wamshangilie kwa kila pointi aliyomwaga.

No comments: