Tuesday, February 19, 2008

ULINZI WA US BONGO

Wataalamu wakila chabo kutoka juu ya gari huku kambi yao ikiwa jirani na eneo hili katika uwanja wa ndege. Unaona lada yao ya kujitegemea kwa mbali juu ya gari?
Kambi ya askari wa Marekani iliyowekwa Uwanja wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili y akudhibiti ugaidi wa aina yoyote. Mazee ilikuw ana kila kitu hadi lada za kujitegemea.
Msafara wa Bush ulilazimika kupitia mlango wa nyuma kwenye kambi ya Jeshi la anga sijui ni sababu za kiusalama ama utaratibu wa kisasa, tuliozoea tunajua viongozi huingilia geti la mashariki.

No comments: