Monday, January 28, 2008

BIASHARA ZA BONGO

Jamaa akiuza chenji katika mitaa ya Jiji la Dar es Salaam, biashara hii imeshamiri sijui inalipa?
Na Haka kajamaa kanauza karanga fungu sh100 imagine hapo anazo kama 16 tu kama akiuza hafikishi hata buku mbili. Je tutafika kweli mwa mtaji huu? Shule hajaenda!!!!

1 comment:

Anonymous said...

kama maisha ni hivi kwa wengine sinabudi kumshukuru mungu nilipofikia maana buku mbili naitokea jasho kishenzi lakini kwa huyu dogo ni kazi ya siku nzima tena hapo kama zikitoka zote.