Sunday, March 30, 2008

BODABODA IN DAR?

Jamaa wa kidosi(Samahani kwa ubaguzi) akiwa amepakia abiria wake kwenye pikipiki katika moja ya mitaa ya Dar es Salaam, sijui kama alifika salama bila kupigwa 'bao'.

No comments: