Jamani kwa taarifa yenu mwananchi Communications wachapishaji wa magazeti yenye akili ya The Citizen, Mwananchi na Mwanaspoti imechapwa leo katika kombe la NSSF na Standard Newspapers wachapishaji wa Daily News na Gazeti kongwe la Habari leo lenye mwaka mmoja tu kwenye soko. Kongwe kweli kweli! Niliongoza washangiliaji lakini baada ya penati kwisha nikashindwa kuelewa tumefungwa ngapi lakini nilijua wameshinda. Michuzi atawapa habari zaidi mwenyewe amefurahi sana!
Timu ya Netiboli inaendelea tunamiziigo ya kutisha!
3 comments:
Sasa hiyo mizigo mbona humwagi picha na contact watu tujaribu bahati zetu. Si unajua kijana bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
yaani wee badala ya kuangalia mechi unachek mizigo tu, fisadi wa ngono wee!
Hao unaowaita mizigo, ni wake wa askali magereza, shauli yako!
Post a Comment