KAZI IPO

Mkuu wa Polisi wilaya ya Dodoma,(OCD)Mary Nzuki akiwa na baadhi ya maafisa wa jeshi la polisi wakiweka taratibu za udhibiti kwa abiria wa gari moshi la kutoka Da es salaam kwenda Mwanza na Kigoma waliokwama Dodoma kutokana na mgomo wa wafanyakazi wa kampuni hiyo wanaodai maslahi bora toka kwa mwajiri wao.Abiria hao waliaandamana kwenda kutoa kilio chao kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma. Jamani watu wamefanyiziwa wanaomba msaada wanawekewe mitutu, Haki kweli? Kuna wengine hawana hela ya kula siku ya pili hii!
No comments:
Post a Comment