Wednesday, March 19, 2008

KICHAPO CHA JWTZ

Mpiganaji wa JWTZ akiwa katika mazoezi makali hivi karibuni kwa ajili ya kupambana na adui yeyote.
Mbali na mapambano ya bunduki lakini pia kun awapiganaji wa vifaru sasa sijui kama vinawez akupanda milima ya kule Anjouan!
Ona mavitu ya wabongo hayo!
Kuna madaktari wa kutosha kwa ajili y akuwahudumia walioteleza

1 comment:

Anonymous said...

SIONI CHA KUFURAHIA HAPO YAANI KUPIGANA NI KITU CHA FURAHA UNAKUWA KAMA WALE WATOTO WA MTAANI WAO FURAHIA MOVIE ZA ACTION