Wednesday, March 05, 2008

KWA WATU WA EKEMONDO BAY

Jamani 'Waitu' wanaotumia usafiri huu kutoka mwanza nasikia umefanyiwa ujkarabati wa nguvu na hudum ainakaribia kuanza!!!! Vyumba kwa sasa si mchezo wenyewe wanaogopa watu wanaoiba mashuk ana bidhaa nyingine vyumbani!!!!

No comments: