Wednesday, March 26, 2008

MAMA WATOTO

Naona watu walikuwa wanauliza mama watoto wangu, Lilian kama nilikuwa nae Dodoma wakati wa kusafisha nyota! Alikuwepo bwana, hapa alikuwa nakataliwa na kategemezi ka dada yangu kanaogopa watu kichizi ukikabeba ukaachwa sebuleni kakilia wanaweza wakafikiri umekafinya kumbe kaoga tu! Huyo ndio kanipa vitegemezi viwili.

2 comments:

Anonymous said...

wewe weka picha za maana sio unatuwekea picha za mkeo hizo hazitusaidii kitu sisi. Tunataka matukio sio kingine. Alafu utakuja laumu siku mkeo akitongozwa na wadau wa blog hii, wakati wewe mwenyewe umetuwekea kifaa cha kutoa udenda. Bro unajua kuchagua kimtindo.

Unaona kuweka picha ya mkeo unafanya watu wawe wambea na kumjadili mkeo. Unapenda mkeo ajadiliwe? Basi usirudie tena

Anonymous said...

Mimi ndio niliomba mpoki picha ya my wife wako asante nimemkubali kiaina mzuri kinoma