Saturday, March 08, 2008

MICHEZO YA KITOTO

Yaani hapa watoto wanakumbusha mbali sana bingwa ni huyo aliyekalia kigogo, waliokulia mjini sana hawajawahi kupanda juu ya mlingoti wa goli kama huu!

No comments: