Kumradhi, naomba kuuliza, una maana gani hana jina la baba wala mama? Mimi mchagga na sisi wachagga tuko karibu sana na wamasai. In fact our customs are quite similar. Kama vile kutahiri vijana wakiwa preteen na early teen, kunjwa kisusio n.k. Sasa hii comment yako inanishitua kidogo.
3 comments:
DAMU ZA KWETU HIZO NZURI EHEE.NDIO MAANA HATA MIMI MZURI TEEE TEE
Kumradhi, naomba kuuliza, una maana gani hana jina la baba wala mama? Mimi mchagga na sisi wachagga tuko karibu sana na wamasai. In fact our customs are quite similar. Kama vile kutahiri vijana wakiwa preteen na early teen, kunjwa kisusio n.k. Sasa hii comment yako inanishitua kidogo.
She is very beautifull, nimemzimia kishenzi, hapa hana mkorogo, mawigi wala lotion akiweka si itakuwa balaa
Post a Comment