Friday, March 07, 2008

PONGEZI MABINTI

Rais kikwete akimpatia zawadi Catherine Massawe wa Kilakala Sec ambako aliingia kwa kupasua akitokea shule ya Msingi Amani Arusha.
Rais pia alimzawadia Irene Kachungura ambaye pia yuko Kilakala akitokea Mafinga, Iringa.
Lisa Mimbi nae alibahatika kupongezwa na JK baad aya kuasua alipokuwa akisoma Rocken hill na sasa yuko St Mary Goreth.

Kali kuliko zote hakukuwa na mtoto hata mmoja aliyepasua ambaye ametoka Dar es salaam!

3 comments:

Anonymous said...

Ndivyo inavyokuwaga. Dar ni mabrazameni na machekisista. Hongereni!

Anonymous said...

WASOME SAA NGAPI NA SEBENE WACHEZE SAA NGAPI KATIKA 10 TA WANAFUNZI WA DAR WA 5 WAIMBA BONGO FLAVA WA 2 WACHEZA SHOO MMOJA CHUNA BUZI/AU SERENGI BOYS NA MMOJA NDIO WANASOMA SASA.WAONE HIVI HIVI SISI MPAKA TUMEKUWA MGRADUATE TUMESOMA HATA KAMA WAZAZI WETU WALIKUWA NA MAPESAA LAKINI TULISOMA

Anonymous said...

Jamani kun ajamaa akaniambia eti watoto wa Dar es Salaam wanategemea zaidi kupata 'Feki'wakati wa mitihani na wanasoma sana tuition kioasi kwamba wakibakia wenyewe kwenye mitihani wanachanganyikiwa. Hata shule za binafsi wanadai baadhi zinawasaidia wanafunzi ili kujiuza ndio maana waliopasua wengi wametoka shule za kwenda na mifagio asubuhi!