Saturday, March 29, 2008

SHUGHULI NZITO

Mjumbe wa Kamati Kuu, Rostam Aziz akipitia makabrasha ya mkuano wa Kamati Kuu kwa makini kabla ya kuanza kikao cha Halmashauri Kuu.
Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba akifuatilia mambo ili kuhakikisha kuwa mkutano wa Halmashauri Kuu unafanikiwa.

No comments: