Tuesday, March 18, 2008

UFISADI

Viusafiri vingine jamani mtu anaweza kufikiri labda umefanya ufisadi kumbe ndio wa watu kila siku. Kama kwenye deal ya EPA ningekuwemo kama haka si kangekuwa kanasaidia kwenda kusalimu wazazi? Kanatua hata kwenye changarawe!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

Haya baba...na wewe unataka ki-EPA chako?