
Mzee akikata vigogo kwa ajili ya kuni kwa ajili ya kuuza ili ajipatie riziki mjini Morogoro.

Vijana wakisubiri wateja wa mananasi mjini Chalinze mkoani Pwani.
Mama akiwajibika na mzigo wake wa kuni inagwa haikujulikana kama ni biashara ama kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, Lakini shughuli ni kubwa kwa wajasiliamali wakihjitahidi kufanya ends zimeet!
No comments:
Post a Comment