WAZEE WA NGWASUMA


Wazee wa kuvaa na jukwaa FM Academia (Wazee wa Ngwasuma) wakiwa wanawasha moto wa burudani kwenye viwanja vya Tripple A Arusha kwenye onesho maalumu lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo kwaajili ya kuburudisha wateja wote wa Arusha mwishoni mwa wiki. Kwa hisani ya mdau jacson wa huko.
1 comment:
Jamaa kwa Pamba ni Balaa,Na hii Mgongo Mgongo hunipandisha Presha kichizi mshikaji wangu!Single yao ya 'Anna' huniacha hoi.Nawapongeza sana kwa kujituma na kazi yao nzuri!
Post a Comment