Jiji la Dar es Salaam linavyoonekana siku hizi kutokea majini, huu ni mnara mpaya wa kuongoza meli ulioko Ferry.
Pamoja na kashfa kubw ana majengo ya BoT lakini sasa yameleta sura njema yakiw apembeni mwa Kilimanjaro Kempisk Hotel.
Kamji kenyewe ndio kanaonekana hivi ukitokea majini. Baada ya miaka kadhaa landscape itakuwa bomba zaidi.
1 comment:
Jiji letu lilisahaulika siku nyingi mno!Toka utaifishaji wa Majengo mwaka 1967 baada ya Azimio la Arusha jiji likasimama.Siyo Dar tu peke yake bali katika miji yote ya mikoani nchi nzima.Sasa hivi Dar ingekuwa inatisha mshikaji wangu!Mkapa alijitahidi sana kupandisha Maghorofa Dar es salaam,penye sifa apewe hakuna noma!Mwinyi alijitahidi sana Vyombo huru vya habari na maTV,magari na bidhaa kadha wa kadha.Naye pia pongezwe palipo stahili yake!Mungu mkubwa,kwa mwendo huu ipo siku jiji letu litaongoza kwa maghorofa Afrika ya Mashariki na ya Kati!Nipeni Shavu basi,au vipi!
Post a Comment