Monday, April 14, 2008

KIBOKO YA VIBAKA


Kuna mdau kanitumia picha ya hii simu anasema itafaa sana kwa mwatu wanaokatisha mitaa ya Manzese, Buguruni, Shule ya Uhuru na kuhudhuria burudani kama maisha Club, Mango Garden na kwingineko ambako vikaka wamekithiri! Sijui sheria imebadilishw alakini zamani hata bastola ya maji ilikuwa hairuhusiwi.

No comments: