Tuesday, April 01, 2008

UOPOAJI MERERANI

Maiti ikitolewa shimoni leo mchana zilitoka tano bado 20 kwenye shimo hili! Maji ni mengi n amchanga umefunika wengine Mungu saidia watatoka. Ni shimo la Germstone resources Limited.
Kwenda chini ilikuwa lazima Nyoka na wanaapolo wavae vizuia haufu lakini wengine waliingia hivyohivyo.
Polisi wakilinda kuimarisha ulinzi katika moja ya migodi watu walikuwa wengiwakitaka kusaidia na wengin kupata riziki si mnajua watoto wa mjini! Walidhbitiwa na vijana wa kamanda Tossi.

1 comment:

Anonymous said...

mzee wa sumo tunashukuru kwa picha hizi na kwa jitihada zako za kufika huko kujionea mambo yalivyo. kwa kweli hali hii inasikitisha sana,imenifanya nifikiri bila kupata jibu. Mungu awafariji wafiwa na watanzania wote.