Wednesday, April 16, 2008

PANTONI LA DAR

Usiombe ukawa unatoka Kigamboni pantoni likawa limejaa hivi! Likigoma utakoma mwenyewe.
Lakini kali zaidi ni kwamba uende na mkokoteni namna hii kabla hujaingia ukute limeondoka, shughuli inakuwa kubwa si unajua halina breki. bila msaada ni hasara tupu!

1 comment:

Anonymous said...

Hili Daraja la Kigamboni litajengwa lini?2185?Australia wataweza kutusaidia iwapo viongozi wetu watakuwa makini katika mazungumzo.Lakini tunao wataalamu wa kuzungumza na wafadhili(Professional Negotiators) au tunafikiri kila mwanasiasa ni hodari wa kuzungumza na kushauriana katika masuala ya biashara na uwekezaji?Poleni sana jamaa wa Kigamboni.Hili ni 'Sheshe' ndugu zangu.Badilisheni Mbunge kila uchaguzi,hilo daraja litajengwa tu!Hilo zigo likitumbukia baharini si hatari hiyo ndugu yangu,umaskini mtupu!