SASA MVUA NOMA DAR
Hapa ni njia ya kuingia sokono Mwenge yaani kama mtu huna four-wheel ama magari ya wabarikiwa kama haya huingii labda ulipaki njiani!
Lakini kiboko ni kwa washabiki wa mpir awakitoka Uwanja wa taifa hii ni barabara ya lami Mandela road lakini shughuli ipo. Sijui kulikuw ana wachina wanachimba mji mzima ,eti mitaro ya maji machafu, sijui, sijui lakini nadhani iliziba!
No comments:
Post a Comment