Wednesday, April 09, 2008

T SHIRT YA BONGO

Nimekuta katika T-shirt ya jamaa mmoja hapa Dar es Salaam imeandikwa 'Whats on a mans mind'. Huu ubunifu sasa kiboko!

2 comments:

Anonymous said...

Hii iko ukutani karibu na DJ's Box Mwanza katika kaukumbi (Club) kadogo tu lakini maarufu sana opposite na Mwanza hotel!

Hata mie nilichoka nilipoiona kwa mara ya kwanza.

Nyakatakule Unyilisya Echalo

Anonymous said...

hahahahhahha, mbona mmeniacha hio, unajua sikuiona hiyo picha vizuri. mmh kweli kuna watu wasanii