Mbunge wa kuteuliwa, Al-Shaymaa Kwegyir akila kiapo cha uaminifu bungeni Dodoma jana baada ya kuteuliwa na Rais.
Mbunge wa Kiteto, Benedict Ole Nangoro akila kiapo cha uaminifu bungeni Dodoma jana kutoka na kushinda uchaguzi katika jimbo lake.
4 comments:
Anonymous
said...
Huyo Mheshimiwa,kachaguliwa na 29% ya wapiga kura wote wa jimbo la uchaguzi la Kiteto kama ukizifuatilia takwimu za wapiga kura wa jimbo hilo.Eti,Kiteto ni wilaya ya wafugaji na siku ya kupiga kura zaidi ya nusu ya wakazi wa wilaya hiyo walikuwa wamekwenda machungani na mifugo yao nje ya wilaya ya Kiteto!Kama bado hujacheka hapo rafiki yangu haraka kamuone Daktari!Maana kama kuna utani hapa duniani basi huu ni kiboko.Huo utetezi ulipata kutolewa na Kizito mmoja wa Chama bila hata chembe ya Haya!Sasa huko Bungeni kenda kuwawakilisha asilimia 29 ya wapiga kura wote wa Kiteto?Kulikuwa na Uchaguzi au Masihara?Kama tumepigwa Juju basi hili Juju Balaa!Inatia uvivu atii.
In fact Benedict Ole Nangoro, NI PADRI WA KATOLIKI, ALIKUWA JIMBO LA ARUSHA. ILA KWA SASA AMEIASI HIYO KAZI NA DINI VILE VILE.
Aliacha hiyo kazi na kulianzisha shirika lake binafsi yaani NGO Inaitwa CORDS, kirefu chake ni Community Research and Development Services.
Jamani simsemei vibaya. Inshort I know this man kiasi. na sisemi hivi kwa kumsingizia lah hasha.
HE IS A HUMMANIZER!! Ana wafanyakazi wa kike ofisini kwake kama 4, wote anatembea nao, na watatu amezaa nao, na hao wanawake hawasemeshani ni chui na paka, na ofisi ni moja. Ukiachilia mbali, nyumbani anaish na kikongwe kimoja cha kenya, ila ana housegil ambaye pia mpishi wake mdada mmoja, anatembea naye pia. yaani sijapata kuona umalaya wa jinsi hii. Wafanyakazi wa CORDS wanamjua vema, na wala si swala la siri. Mtu ukienda pale ukiongea na mfanyakazi yeyote utapewa habari, hizi ni trela.
Ukiajiriwa kama ni mwanamke, akikutaka ukimkataa, basi ujue huna kazi.
Sasa Kuna mafisadi wa pesa, ila huyu ni FISADI MZALILISHAJI HASWAA wa wanawake.
Mkitaka kujua ukweli wa mambo, NGO yake iko pale Arusha, njia ya kwenda Ngaramtoni, panaitwa Kwa IDDI, ukitoka mjini Arusha, kata kulia na utaona kibao.
Anyway I dont know ameshindaje huko kwenye ubunge, ila ni mtu ambaye kuongea ni shida, ingawa pia is very intelligent, maana ukweli lazima tuuseme. labda kwakuwa amekuwa politician, sasa atajifunza kuongea.

Mwanaharakati
Jamani naomba kuuliza. Je huyo mbunge mwanamke ni mzungu? Nataka kujua tu, hakuna zaidi.
we anon. hapo juu huyu mwanamke ni Albino mbona unautani sana wewe, kama ulikuwa hujui sasa ujue si mzungu ni albino
Post a Comment