Thursday, May 01, 2008

KAMA NINGEKUWA FISADI

Kama ningekuwa fisadi ningenunua mwezi nikaishi huko ili wapigakur awasiniletee noma.
Ningeketi sebuleni kuangalia dunia inaendeleaje na wanoko walioko huko wanaotamani hela za watu wasizipate!
Farasi wangu ningemwekea meno ya almasi ili apendeze na kung'aa nikimwendesha.
Muhudumu kama huyu angekuwa tayari ndfani ya nyumba kwajili ya kunihudumia, labda kuniogesha!
Glass yangu ingekuwa ya almasi yote ninywee kinywaji ninachotaka!

2 comments:

Anonymous said...

Masikini ki mpoki kinatia huruma yaani utakaa upate hapo hata kimoja mpaka kufa jitahidi upate vijisenti jiingize kwenye Chama Cha Mafisadi utafanikiwa ok

Anonymous said...

du kudadadeki si mchezo ndoto tamu.